Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Kisiwani Pemba leo.

Baadhi ya Wanafunzi wac Skuli mbalimbali Kisiwani Pemba hupata huduma ya kujisomea vitabu mbalimbali na kufanyakazi za Skuli katika Maktaba Kuu Kisiwani Pemba, kama walivyokutwa na Kamera yetu wakiwa wakijisomea na kufanya kazi zao. katika Maktaba ya Chakechake Pemba.
HATIMAE kilio cha wafanya biashara wa kuku katika soko la Chake Chake kimesikika, baada ya shirika la Umeme ZECO Pemba, kuiyondosha Tansfoma kubwa iliyokuwa katika eneo la biashara hiyo na kuihamisha sehemu nyengine, Pichani wafanyakazi wa ZECO wakiizuwia Kriin iliyochukuwa Tansfoma hiyo.
(PICHA ANA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.