Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Amuapisha Kamishna Diwani Athumani Msuya, Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Ikulu Jijini Dar es Salaam leo.MBA 12,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athumani Msuya Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 12, 2019
Kamishna Diwani Athumani Msuya Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa

Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna Diwani Athuman Msuya akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania , hafla hiyo imefanyika kulu Jijini Dar es Salaam leo, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna Diwani Athuman Msuya akiapa kaipo cha Maadili kwa Viongozi wa Utumishi wa Umma mara baada ya kuapishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kumuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania, hafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Diwani Athuman Msuya mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania, hafla hiyo imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo, ambaye anachukua nafasi ya Dkt. Modestus Kipilimba.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.