Habari za Punde

Ujumbe wa Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia wakutana na Rais Dk Shein Ikulu

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika mazungumzo baina ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wa Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno walipokutana  leo  Ikulu Mjini Zanzibar.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitambulishwa kwa baadhi ya Viongozi mbali mbali katika ujumbe wa Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (katikati) ujumbe huo ulipofika  Ikulu Mjini Zanzibar leo.
   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (wa pili kulia)  leo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri anayeshuhulikia Mashirika yanayomilikiwa na Serikali ya Indonesia Bibi.Rini M.Soemarno (wa pili kulia)  leo  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu.] 17 Sept 2019. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.