Habari za Punde

Viongozi wa Ngazi ya Wilaya Wapatiwa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mwevuli ya Asasi zisizoza kiserikali Zanzibar (ANGOZA) Bi.Asha Aboud Mzee, akifunguwa mafunzo ya kuwajengea uelewa Viongozi wa ngazi mbali mbali wa Wilaya ya Mkoani juu malengo ya Maendeleo endelevu SDG na MKUZA III, yaliofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Pemba.
Mkurugenzi wa ANGOZA, Hassan Khams Juma, akitowa mada juu ya mahusiano ya mkakati wa kukuza uchumi na kupunguza Umaskini na maendeleo endelevu kwa washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Viongozi wa Wilaya ya mkoani Pemba juu ya  malengo ya  SDG na MKUZA III.

Mkufunzi  kutoka Jumuiya ya Vijana ya kimataisa  (YUNA) , Ame  Haji Vuai,, akitowa maelez juu ya Shirika hilo lilivoamuwa kusaidia tasisi zisizo za kiserikali ikiwemo ANGOZA, kuisaidia Serikali kueneza uelewa juu ya maendeleo endelevu .

Baadhi ya Washiriki wa mafunzo ya kuwajengea ufahamu malengo endelevu SDG na MKUZA III , wakifuatilia kwa makini mada zinazotolewa na wakufunzi wa mafunzo hayo.
Picha na Habiba Zarali -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.