Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Azungumza na Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Kabudi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Usirikiano wa Afrika ya Mashariki. Profesa Palamagamba Kabudi  katika Mkutano wa TICAD 7 uliofanyika kwenye Ukumbi wa  hoteli ya Pscifico Yokohama nchini Japan, hivi karibuni. Mkutano huo umemalizika na wote wamerejea nyumbani. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.