Mshambulizi wa Timu ya Jangombe Boys akiwapita mabeki wa Timu ya Polisi wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu ya Polisi imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
RAIS DKT. MWINYI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR
-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein
Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa
Zanzibar.
...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment