Mchezaji wa Timu ya Mlandege kushoto na wa JKU, wakiruka kuwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya Mlandege imetoka kivua mbele kwa kuichapa Timu ya JKU kwa mabao 2-0.
ADA COTTRELL FOUNDATION YATOA MSAADA NUNGWI-ZANZIBAR
-
Na Mwandishi Wetu
Taasisi ya ADA COTTRELL FOUNDATION kwa kushirikiana na Taasisi ya (LDF)
Labayka Development Foundation imetoa mahitaji kwa Watoto wanaish...
43 minutes ago
No comments:
Post a Comment