Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohamed Ramai Abduwawa, akimsikiliza mmoja wa wazee wa Mgogoni shehia ya Kifundi, wakati wa ziara yake kutembelea Soko la Kongwe kujua mmiliki wa soko hilo ambalo kwa sasa wananchi hao wanahitaji kujengewa la kisasa kijijini kwao
IPO haja kwa uongozi wa baraza la mji chake chake, serikali ya wilaya hiyo, kufanyia matengenezo funiko la karo ya maji machafu ambao limeshapasuka, ili kunusuru ajali isijekutokea katika eneo la juwa kali chake chake.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.