Habari za Punde

RC Kusini Ameahidi Kushirikiana Na Wananchi Na Kutatuwa Changamoto

 Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud akitoa hotuba na kuomba Ushirikiano na Viongozi wenzake pamoja na Wananchi wa Mkoa huo katika Mkutano wa kukaribishwa huko Ofisi za Wilaya ya Kusini Unguja, wa kwanza (kushoto)  Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Kitwana, na wa kwanza (kulia) Mwenyekiti wa Halmashauri Wilaya ya Kusini Juma Mussa. .
 Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Idrissa Kitwana akisoma muhtasar wa Taarifa ya Wilaya ya Kusini katika Mkutano wa kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud  huko Ofisi za Wilaya ya Kusini Unguja
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kusini Unguja Abdul-azizi Hamadi Ibrahim akitoa maelezo kuhusu Chama Cha Mapinduzi katika Mkutano wa kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud  huko Ofisi za Wilaya ya Kusini Unguja
 Baadhi ya Vijana wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) na Watendaji wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifatilia Mkutano wa kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud  huko Ofisi za Wilaya ya Kusini Unguja

Picha na Maryam Kidiko – Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.