Habari za Punde

Siku ya Chakula Duniani kuadhimishwa leo Chamanangwe kisiwani Pemba


WAZIRI wa Kilimo maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Kisiwani Pemba, kuelekea siku ya Chakula Duniani huko Chamanangwe Wilaya ya Wete, ambayo hufanyika kila Oktoba 10 ya kila mwaka, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.