Habari za Punde

Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa EAC Wafanyika Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Zanzibar nje kidogo ya Jiji la Zanzibar, (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe. Hassan Khatib Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe Omar Othman Makungu wakielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Zanzibar.
Rais wa Zanzibaer na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Nchi za Afrika Mashari katika Hoteli ya MadinatAl Bahri Mbweni Zanzibar akiwa amesimama wakiti ukiimbwa wimbo wa Taifa na wa  Afrika Mashariki, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Katiba na Sheria Zanzibar.Mhe. Khamis Juma Mwalim na Rais wa (EAMJA)Mhe. Angeline Rujazana na kushoto Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe.Omar Othman Makungu, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Mauni na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Hassan Khatib Hassan. 
Rais wa Zanzibaer na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Nchi za Afrika Mashari katika Hoteli ya MadinatAl Bahri Mbweni Zanzibar akiwa amesimama wakiti ukiimbwa wimbo wa Taifa na wa  Afrika Mashariki, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, na kushoto Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe.Omar Othman Makungu, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe.Zuberi Ali Mauni na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Mhe.Hassan Khatib Hassan. 
Waheshimiwa Majaji na Mahakimu wa Jumuiya ya (EAMJA) wakiwa wamesimama wakati ukupigwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Nchi za Afrika Mashariki uliofanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Zanzibar.
Kadhi wa Rufaa Pemba Sheikh.Daudi Khamis akisoma dua kabla ya kuaza kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Majaji na Mahakimu wa Nchi za Afrika Mashari uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya MadinatAl Bahri Mbweni Jijini Zanzibar leo. 
Askofu  Agustino Shao akiwa katika maombi kabla ya kuaza kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Majaji na Mahakimu wa Nchi za Afrika Mashari uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya MadinatAl Bahri Mbweni Jijini Zanzibar leo. 
Mhe.Jemimah Keli (Council Member ICJ Kenya akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa  mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Zanzibar leo. 
Naibu Mrajis Mahakama Zanzibar.Mhe. Salum Hassan Bakari akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Zanzibar. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.