Meneja wa Hoteli ya Kitalii ya AYYANA, ilioko Makangale Wilaya ya Micheweni, Mr ,Philippe Dupont, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Ofisa Mdhamini Wizara ya Habari , Utalii na Mambo ya Kale Pemba Khatib Juma Mjaja , kwa kuchangia tamasha la Utalii wa Vyakula vya asili lilifanyika Kisiwani Pemba kuanzia tarehe 31 October hadi tarehe 2 Novemba 2019.
Meneja wa Hoteli ya Kitalii ya AYYANA, ilioko Makangale Pemba, Mr.Philippe Dupont, akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi na walimu wa Skuli za Sekondari walioshinda katika Kongamano la Bonanza la Utalii wa Vyakula vya asili lilifanyika Kisiwani Pemba.
Picha na Juma Seif -Maelezo Pemba.
No comments:
Post a Comment