Habari za Punde

WAZIRI MHAGAMA AFUNGUA KIKAO CHAKUJADILI MWENENDO WA ZOEZI LA KUHAMIA DODOMA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.  Jenista Mhagama akichangia jamboi wakati wa kikao chake na Menejimenti ya ofisi yake na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri  Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa kikao hicho, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hazina Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri  Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa kikao hicho.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akichangia hoja wakati wa kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi ya Waziri  Mkuu pamoja na Kikosi kazi cha Taifa cha Kuratibu Mpango wa Serikali Kuhamia Dodoma kilicholenga kujadili mwenendo wa zoezi la kuhamia Dodoma.
Katibu wa Kikosi kazi cha Kuratibu zoezi la Serikali kuhamia Dodoma Bw. Mershach Bandawe akiwasilisha taarifa ya Saba ya zoezi la Kuhamia Dodoma na Ujenzi wa Mji wa Serikali Awamu ya Kwanza  wakati wa kikao hicho.
PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.