Habari za Punde

Waziri Mkuu awa Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kukabidhiwa picha wakati wa hafla ya Mahafali ya 45 ya Chuo Cha Usimamizi wa Fedha, kulia Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, wakiwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, wakati aliwasili kwenye kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha IFM, Dkt. Benson Bana, wakati aliwasili kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2019. Katikati ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia katika ukumbi wa mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, akizungumza na Wahitimu wa Chuo cha IFM, kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia Wahitimu wa Chuo cha IFM, kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Chuo cha IFM, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Chuo cha IFM, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia kwenye mahafali ya 45 ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. ,Novemba 29, 2019

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.