Habari za Punde

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe.Balozi Amina Salum Ali Azungumza Kuhusiana na Msimu Mpya wa Karafuu Zanzibar.

 
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, akitoa taarifa ya serikali kuelekea msimu mpya wa Karafuu, pamoja na mikakati ya serikali katika zao hilo, kwenye kikao na watendaji mbali mbali wa serikali,huko katika ukumbi wakiwanda cha Makonyo Chake Chake Pemba
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdallah, akizungumza wakati wakikao cha watendaji mbali mbali waserikali na wakulima wa zao la Karafuu, kuelekea msimu mpya wa zao hilo 
AFISA  Mdhamini wizara ya Biashara na Viwanda Pemba Ali Suleiman Abeid, akizungumza wakati wa kikao cha pamoja na watendaji mbali mbali wa Serikali kuelekea msimu mpya wa zao la Karafuu Pemba
WAJUMBE wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini taarifa ya serikali kuelekea msimu mpya wa zao la Karafuu, iliyotolewa na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar, Balozi Amina Salim Ali huko katika Ukumbi wa Kiwanda Cha Makonyo Chake Chake.
WAANDISHI wa Habari kutoka Vyombo mbali mbali vya habari Pemba, wakifuatilia kwa makini taarifa ya serikali juu ya msimu mpya wakarafuu, iliyotolewa na Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salim Ali, huko katika ukumbi wa Makonyo Chake Chake.(Picha na Abdi  Suleiman - PEMBA) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.