Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt..Bashiru Akizuru Kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma na Kumuombea Dua.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa (katikati mwenye kofia) akiitikia dua pamoja na wanafamilia ya marehemu Dkt. Omar Ali Juma aliyefariki dunia mwaka 2001 na kuzikwa kijijini kwao Wawi Wilaya ya Chake Chake Pemba.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa , akisalimiana na Mzee Mohamed Yahya Juma mmoja ya wanafamilia wa Marehemu Dkt. Omar Ali Juma, mara baada ya kuwasili katika kaburi la marehemu huyo huko Wawi Chake Chake Pemba .Picha na Abdi Suleiman -  Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.