Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCMTaifa Aendelea na Ziara Yake Kisiwani Pemba.

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa, akiwapungua mikono vijana wa CCM wa Tawi la CCM Kendwa, wakati alipowasili na kuzungumza nao na kukabidhi kadi kwa wanachama wapya 
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa akishiriki katika ujenzi watawi la CCM kenda, pamoja na kupata nafasi ya kuzungumza na kukabidhi kadi za CCM kwa wanachama wapya Kiwani 
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa, akimkabidhi kadi mmoja wa wanachama wapya wa CCM Wilaya ya Mkoani, kati ya wanachama 950 waliomaliza darasa la Idikati la CCM kwa Vijana.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa, akisalimiana na bibi Nachia Mwalimu ambaye ni mke wa muwasisi wa CCM na Mbunge wa Wilaya Mkoani Mzee Khamis Machano wa Kiwani Wilaya ya Mkoani.
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dk Bashiru Ally Kakurwa, akimjuulia hali sheha washehia ya Kiwani Abdalla Makame ambaye alipata ajali ya gari hivi karibuni
(Picha na Abdi  Suleiman - PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.