Habari za Punde

Makamo wa Rais Mhe.Samia Suluhu Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto Jijini Mwanza

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho  Disemba  09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho  Disemba  09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
 Baadhi  ya Viongozi na Wananchi Jijini Mwanza wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa  akihutubia Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho  Disemba  09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. 
Baadhi  ya Wauguzi Jijini Mwanza wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa  akihutubia Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho  Disemba  09 katika Uwanja wa CCM Kirumba 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi na Wananchi wa Nyamagana Jijini Mwanza baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Wodi ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana leo Disemba 08,2019, ikiwa ni moja ya mfululizo wa shamrashamra ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Uhuru na Miaka 57 ya Jamhuri yanayotegemewa kuadhimishwa kesho  Disemba  09 katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.