Habari za Punde

Mkuu wa Takwimu za Bei Atoa Takwimu za Mvumko wa Bei Zanzibar.

Mkuu wa Takwimu za Bei kutika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Abdul-Rahman Msham(katikati)akitoa takwimu za Bei ambapo imeonekana  kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019 ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.
Baadhi ya Wandishi wa Habari waliohudhuria katika hafla ya utoaji wa  takwimu za Bei ambapo imeonekana  kupanda Asilimia 3.1 kwa mwezi wa Novemba 2019 ukilinganisha na 2.4 kwa mwezi wa Octoba 2019 hafla iliofanyika ukumbi wa Mtakwimu mkuu mazizini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.