Habari za Punde

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt.John Pombe Magufuli Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kilichofanyika Jijini Mwanza Disemba 11, 2019

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dk. Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Mara baada ya Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza.Disemba 11,2019.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu yaHalmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Mwanza.
Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.