Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mihayo Juma Nhunga, akimkabidhi baskeli ya maringi matatu Mwanachama wa SHIJUWAZA Bi. Amina Hemed Othman (katikati kwa Naibu Waziri) Mwenyekiti wa Jumuiya ya SHIJUWAZA Bi. Mwandawa Khamis Mohammed , Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa TCC.Bi. Awaichi Mawalla na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano TCC..Ndg. Godson Killiza, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mihayo Juma Nhunga, akimkabidhi (wheel chair) Mwanachama wa SHIJUWAZA Ndg. Abubakar Bakari, (katikati kwa Naibu Waziri) Mwenyekiti wa Jumuiya ya SHIJUWAZA Bi. Mwandawa Khamis Mohammed , Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa TCC.Bi. Awaichi Mawalla na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano TCC..Ndg. Godson Killiza, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mihayo Juma Nhunga, akimkabidhi (wheel chair) Mwanachama wa SHIJUWAZA Bi.Safia Haji Khatib, (katikati kwa Naibu Waziri) Mwenyekiti wa Jumuiya ya SHIJUWAZA Bi. Mwandawa Khamis Mohammed , Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa TCC.Bi. Awaichi Mawalla na Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano TCC..Ndg. Godson Killiza, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mihayo Juma Nhunga, akimkabidhi visaidizi Mwanachama wa SHIJUWAZA Ndg. Salum Othman hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mihayo Juma Nhunga, akimkabidhi visaidizi fimbo nyeupe Mwanachama wa SHIJUWAZA wakati wa hafla hiyo iliofanyika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment