Habari za Punde

Kutoka Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Rombo, Joseph  Selasini, bungeni jijini Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,  ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela, Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Jmbo la Momba.Mhe. David Silinde kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Januari 30, 2020. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.