Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA SWEEDEN NCHINI TANZANIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa Sweeden Nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg wakati Balozi Sjoberg alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 17,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Sweeden Nchini Tanzania Mhe. Anders Sjoberg wakati Balozi Sjoberg alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Jijini Dar es salaam leo Januari 17,2020. kushoto ni katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.