Mwenyekiti
wa EAPCCO ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro leo
17/01/2020 Jijini Dodoma, amekutana na Ujumbe kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya kwa
lengo la kuzungumzia pamoja na mambo mengine, Mradi unaofadhili mafunzo ya
kuwajengea uwezo wasimamizi wa sheria katika nchi zilizopo Pembe ya Afrika
hususani kwenye masuala ya upelelezi
Mwenyekiti wa EAPCCO ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro leo 17/01/2020 Jijini Dodoma, amekutana na Ujumbe kutoka Umoja wa Nchi za Ulaya kwa lengo la kuzungumzia pamoja na mambo mengine, Mradi unaofadhili mafunzo ya kuwajengea uwezo wasimamizi wa sheria katika nchi zilizopo Pembe ya Afrika hususani kwenye masuala ya upelelezi.
No comments:
Post a Comment