Habari za Punde

Matukio ya Picha Kisiwani Pemba.

Wanafunzi wa Skuli ya Msingi na Maandalizi ya Kiuyu Wilaya ya Micheweni Pemba wakiwa katika viwanja vya Skuli yao wakipata Uji Maalum wa lishe ulioandaliwa kwa ajili yao ikiwa ni utaratibu ulioandaliwa kwa ajili yao wakati wa mapumziko, utaratibu huu hutolewa kwa skuli zote za msingi Nchini.
Huduma ya usafiri imekuwa ikiongozeka katika njia mbalimbali kusafirisha abira na mizigo yao kutoka sehemu moja kwenda nyengini kama inavyoonekana picha ikiwa ni mwisho wa safari ya abiria kutoka Mkoani hadi Chakechake Pemba, kama ilivyokutwa gari hiyo ikishusha mizigo katika marikiti kuu ya Chakechake.
Kituo cha Mafuta katiuka Mji wa Chakechake Pemba  kikitoa huduma ya uuzaji wa mafuta kwa Wananchi wanaofika katika kituo hicho kupata bidhaa hiyo kama inavyoonekana pichani.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.