Watalii wakishuka kwenye treni ya Kifahari Rovol Rail( Pride of Africa) iliyowasili leo
Januari 25, 2020 katika Stesheni ya Treni TAZARA Jijini Dar es Salaam ikiwa na
watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani na
Uingereza ambao wataende kutalii katika
meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Jiji la Dar es Salaam, Mji wa Zanzibar, Serengeti na
Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika safari tano kwa mwaka
2020.
Mwimbaji wa Bendi ya Polisi akicheza na mmoja wa wafanyakazi wa treni ya kifahari ya Rovols
(Pride of Afrika), mara baada ya kuwasili kwa treni hiyo Jijini Dar es Salaam
ikitokea Afrika ya Kusini ikiwa na
watalii Zaidi ya 60 kutoka nchi mbalimbali duniani ikwemo Marekani na Uingereza ambao wataende
kutalii katika meneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Dar es Salaam, Mji wa
Zanzibar, Serengeti na Ngorongoro, hii ni safari ya kwanza kwa treni katika
safari tano kwa mwaka 2020.
No comments:
Post a Comment