Habari za Punde

Zimebaki Siku Chache Kufunguliwa Tawi Benki ya Watu wa Zanzibar Wete Branch

Muonekano wa Jengo la Benki ya Watu wa Zanzibar Wete Pemba ambalo linatarajiwa kufungulia katika hafla ya kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wiki hii, kuaza kutowa huduma za Kibenki kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Pemba na Vijiji vya Jirani.
PBZ inaonaozea miundombinu ya kuimarisha huduma zake kuwafikia Wananchi kwa ukaribu zaidi. 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.