Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ahakiki Taarifa Zake za Mpiga Kura

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihakiki taarifa zake za mpiga kura kwenye Daftari la Wapiga kura katika Kituo cha Shule ya Sekondari  SOS Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo Febuari 27,2020. katikati ni Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi Zanzibar  ZEC Thabit Idarous Faina.
Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari akimkabidhi Kitambulisho cha Mzanzibari Mkazi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Febuari 27,2020 Tunguu Zanzibar  Baada ya kuhakikiwa upya kwa Vitambulisho hivyo.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha Kitambulisho Kipya cha Mzanzibari Mkaazi baada kukabidhiwa kitambulisho hicho na Afisa wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Jamii Zanzibar Khatib Said Bakari  leo Febuari 27,2020 Tunguu Zanzibar.    (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.