Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM
Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha
Mapinduzi (CC) kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Chama hicho Lumumba jijini Dar
es Salaam. Februari 12, 2020.
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR -UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MKUPONGEZA
RAIS WA ZANZIBAR
-
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema katika
kipindi cha miaka mitano iliyopita, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
(WEMA)...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment