Habari za Punde

Uongozi wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Yawasilisha Taarifa ya Mpango Kazi Kwa Mwezi wa Julai Hadi Disemba 2019/2020.

WAZIRI wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar. Mhe, Maudline Castico akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi  wa Wizara yake kwa mwezi  wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kushoto) Katibu Mkuu Jiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kulia) Naibu Waziri Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar. Mhe. Shadya Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, katika mkutano wa uwasilishaji taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwezi  wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar..(kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
KATIBU Mkuu Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Bi. Fatma Gharib Bilal akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kuazia mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani)  kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,.Balozi Seif Ali Iddi.
BAADHI ya Wakurugenzi wa Idara za Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, wakifuatilia  taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kuazia mwezi  wa Julai hadi Disemba  2019 /2020, wakati Katibu Mkuu wa Wizara hiyo akiwasilisha taarifa hiyo, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
BAADHI ya Maofisa wa Idara za Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, wakifuatilia  taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kuazia mwezi  wa Julai hadi Disemba  2019 /2020, wakati Katibu Mkuu wa Wizara hiyo akiwasilisha taarifa hiyo, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Maofisa wa Idara za Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, wakifuatilia  taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kuazia mwezi  wa Julai hadi Disemba  2019 /2020, wakati Katibu Mkuu wa Wizara hiyo akiwasilisha taarifa hiyo, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MKURUGENZI Idara ya Mikopo Ndg. Suleiman Ali akijibu maswali yalioulizwa wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi  kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
AFISA Mdhamini Wizara ya Kazi Uwezeshaji wa Wazee Wanawake na Watoto Pemba Ndg Hakim Vuai Shein, akijibu maswali wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi  wa Wizara hiyo kwa  mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020 , uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MKURUGENZI Idara ya Uwezeshaji  Ndg. Ameir Haji Sheha akijibu  masuali yalioulizwa wakati wa mkutano wa  Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake kwa mwezi  wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Wakurugenzi wa Idara za Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar, wakifuatilia  taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kuazia mwezi  wa Julai hadi Disemba  2019 /2020, wakati Katibu Mkuu wa Wizara hiyo akiwasilisha taarifa hiyo, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.