Habari za Punde

Kuwepo ugonjwa wa Corona abiria wa daladala wanawishwa mikono


KUFUATIA kuwepo kwa ugonjwa wa Corona Tanzania,baadhi ya gari za abiria zimeanza kutekeleza agizo la serikali kuwanawisha mikono abiria wao kabla ya kupanda gari hizo, pichani kondakta wa gari ya abiria yenye ruti 316 Chake Chake-Vitongoji akiwanawisha mikono abiria wake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.