Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akiweka Mchanga kwenye kaburi la Marehemu Mzee
Mohammed Makbel ambaye alikuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma,
alipomuwakilisha Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, leo tarehe 11.05.2020 Katika
Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
Naibu Waziri-Ofisi
ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde, akiweka Mchanga
kwenye kaburi la aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma,
Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel
Jijini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge akitoa
salamu za pole kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, wakati wa Mazishi
ya aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee
Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
Naibu Waziri-Ofisi
ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde akitoa salamu za
pole alipohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee Mkoa wa
Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika Makaburi ya
Makbel Jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya
Dodoma Mjini Patrobal Katambi akitoa
salamu za pole alipohudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Wazee
Mkoa wa Dodoma, Marehemu Mzee Mohammed Makbel, leo tarehe 11.05.2020 Katika
Makaburi ya Makbel Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment