Mwalim Nazaral Daud (Ndugu yake AbdullSatar Bombay Bazaar) ametangulia mbele ya haki, hakika msiba mzito ila kazi ya mungu haina makosa yeye ametangulia na sisi tupo nyuma yake
Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit amjazie katka mema yake amsamehe makosa yake na amlaze mahala pema peponi Ameen
Inna Ilillaah Wainna Illayh Rajiuun.
No comments:
Post a Comment