Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Ladislaus Nyongo, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, May 28, 2020. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Buhigwe, Albert Obama, Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Olenasha, Mbunge wa Viti Maalum, Ester Mahawe, Mbunge Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza, Mbunge wa Kilolo, Venance Mwamoto.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.