Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akishirikiana na Ndg.Ali Nungu wa Taasisi ya Kijamii ya " Time to Help" kulia wakitoa msaada wa vyakula kwa wananchi wa kijiji cha Binguni, Wilaya ya Kati waliopata maafa ya kujaa kwa maji katika makaazi yao kutokana na mafuriko waliyoyapata yaliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha karibuni. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli ya Binguni.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akishirikiana na Ndg. Ali Nungu wa Taasisi ya Kijamii ya " Time to Help" kulia wakitoa msaada wa vyakula kwa wananchi wa kijiji cha Binguni, Wilaya ya Kati waliopata maafa ya kujaa kwa maji katika makaazi yao kutokana na mafuriko waliyoyapata yaliosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha karibuni. hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli ya Binguni.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Wilaya ya Kati Unguja Mhe. Simai Mohammed Said akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Binguni waliopata janga la mvua za misika kwa kujaa maji katika makazi yao.hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Binguni.
No comments:
Post a Comment