Habari za Punde

Neema ya mvua kuimarisha kilimo cha minazi

KUFUATIA  Mvua Kuendelea Kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Kisiwa Cha Pemba, nao wakulima wa minazi hawako nyuma katika kuimarisha kilimo hicho, pichani baadhi ya wananchi wakichagua minazi bora na mizuri kwenda kupanda ambapo mmoja mche wake unauzwa kati ya shilingi 2000 hadi 2500.(PICHA NA ABDI SULEIMAN.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.