Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein Azungumza na Viongozi wa Mikoa ya Kusini na Kaskazini Pemba Akiwa Katika Ziara Yake leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba wakati wa ziara yake ya Siku mbili Kisiwani Pemba, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo. 

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Kusini wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo chakechake Pemba leo. 

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Omar Khamis Othman akisoma taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wake wa Kaskazini Pemba wakati wa mkutano wa Viongozi wa Mikoa Miwili ya Pemba uliofanyika katika ukumbi Ikulu Ndogo Chakechake Pemba uliofanyika leo 

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Ussi Gavu akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe., Dk. Ali Mohamed Shein, kuzungumza na Viongozi wa Serikali wa Mikoa miwili ya Kusini na Kaskazini Pemba uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake, akiwa katika ziara yake ya Siku mbili Pemba
BAADHI  ya  Viongozi  wa  Serikali kutoka Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo. 
 BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, wakifuatilia mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba, akiwa katika ziara yake ya siku mbili.
 BAADHI  ya  Viongozi  wa  Serikali kutoka Mikoa miwili ya Kaskazini na Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba leo 
KAMANDA wa Chuo Cha Mafunzo Sharif Ahmada Ali akisoma dua baada ya kumalizika kwa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.