Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar akihakiki fomu za Mgombea Urais Mhe. Mohammed Hija wakati akirejesha fomu hizo baada ya kumaliza zoezi la kutafuta wadhamini na kuzijaza, hafla hiyo imefanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
MWENGE WA UHURU WAZINDUA KITUO CHA POLISI NYAKITONTO KWA AJILI YA KUONGEZA
USALAMA
-
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ismail Alli Issu, amesema
uwepo wa miradi mingi yenye thamani kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya
Kasulu ni...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment