Habari za Punde

Innaa lilaahi wainnaa Ilaihi Rajiuun: Suleiman Said Bangaya

Mwenyezimungu amlaze mahali pema peponi Mwanamichezo Mkongwe Zanzibar Marehemu Suleiman Said Bangaya aliyefariki leo katika Hospital Kuu ya Mnazi Mmona na kuzikwa leo Alasiri Maiti itaondokea katika Mtaa wa Kikwajuni Mao kwa mujibu wa Wanafamilia wa marehemu.

Na kuzikwa Kijijini Kwao Mwera Kiungoni baada ya Sala ya Alaasiri leo

Innaa lillaahi Wainnaa Ilayhi Rajiuun 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.