Habari za Punde

Mwanachama wa Nne wa CCM Ajitokeza Kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar

Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu za kugombea kuchagualiwa kupitia CCM Ndg. Omar Sheha Mussa, akiwa ni Mwanachama wa Nne kujitokeza kuwania nafasi hiyo ya Urais wa Zanzibar.Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar leo 17-6-2020.  
Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu za kugombea kuchagualiwa kupitia CCM Ndg. Omar Sheha Mussa, akiwa ni Mwanachama wa Nne kujitokeza kuwania nafasi hiyo ya Urais wa Zanzibar.Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar wakifuatilia maelezo ya Mgombea Urais wa Zanzibar baada ya kuchukua fomu hiyo Ndg. Omar Sheha Mussa, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.