Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo
tarehe 03 Juni, 2020 amekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed
Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Mhe. Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein, Makamu Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Mzee Philip Mangulana Katibu Mkuu
wa CCM Dkt. Bashiru
AllyKakurwawakifuraia jambo leo tarehe 03-06-2020 katika Ikulu ya
Chamwino mkoani Dodoma
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.
Mohamed Ali Shein
Ikulu ya Chamwino Dodoma leo.

wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Ali
Shein akiweka udongo katika jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu na kukagua
maendeleo ya kazi ya ujenzi wa ofisi hizo inayofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupitia shirika lake la Suma JKT.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Ali Shein akiweka udongo katika jiwe la msingi la ujenzi wa Ofisi za Ikulu na kukagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa ofisi hizo inayofanywa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupitia shirika lake la Suma JKT.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Mohamed Ali
Shein akiangalia kibao cha jiwe la msingi la Ujenzi wa Ofisi za Ikulu
ya Chamwino Mkoani Dodoma leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Mohamed Ali
Shein akizungumza na wajenzi kutoka JKT mara baada ya kukagua kazi za Ujenzi wa
Ofisi za Ikulu Mkoani Dodoma leo.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali
Shein akizungumza na wajenzi kutoka JKT mara baada ya kukagua kazi za Ujenzi wa
Ofisi za Ikulu Mkoani Dodoma leo
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment