Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa , Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembea katika mitaa ya Ruangwa Juni 21, 2020. Wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hassim Mgandilwa
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembelea eneo la Kituo cha Mabasi cha Rungwa
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipotembelea eneo la Kituo cha Mabasi cha Rungwa Juni 21, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
No comments:
Post a Comment