Mshambuliaji wa Timu ya Malindi akimpita beki wa Timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong. Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungani 0-0.
MICHEZO ya vishale na bao imetoa mabingwa wapya kwenye michezo ya 39 ya
SHIMIWI
-
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
MICHEZO ya vishale (darts) na bao imetoa mabingwa wapya kwenye michezo ya
39 ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Idara, Wakala z...
29 minutes ago
No comments:
Post a Comment