Habari za Punde

Tangazo la Zeco: Maboresho ya laini ya Mazizini na Mtoni

SHIRIKA LA UMEME ZANZIBAR (ZECO)
TAARIFA YA MABORESHO YA UMEME LAINI YA MAZIZINI NA MTONI MPENDAE.

Shirika la Umeme Zanzibar (zeco) linawataarifu wateja wake wa line ya KilimaHewa kuwa kutakua na maboresho ya line kubwa ya umeme kwa kubadilisha nguzo kama ifuatavyo:- 

Tarehe: 25/07/2020
 siku: Jumamosi
 muda: saa 3:00 Asubuhi hadi saa 11:30 jioni
line: Line ya Mazizini na Laini ya Mtoni Mpendae.
Sababu: matengenezo ya laini kubwa 
Maeneo yatakayokosa umeme ni Maeneo ya Mazizini, mombasa, K/samaki, Mbweni, Chukwani mpaka Buyu.

Laini ya Mtoni Mpendae:  mtoni, Daraja bovu, Nyerere, Sebleni, M/kwerekwe, Meli nne, K/Upele, Fuoni mambo sasa, Fuoni kidarajani mpaka Fuoni Chunga.

Usisite kuwasiliana nasi huduma ya simu kwa wateja 0772877879 whatsapp 0772877879

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.