Habari za Punde

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kati ya Chipukizi na Zimamoto Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Mao Zedong Timu ya Zimamoto Imeshinda Bao 2-1

Wachezaji wa Timu ya Zimamoto na Chipukizi wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika ckatika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar. katika mchezo huo Timu ya Zimamoto imeshinda bao 2-1.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.