Habari za Punde

Wanahabri Pemba washiriki mafunzo ya siku moja juu ya masuala ya Chanjo

AFISA uwendeshaji kinga kutoka Wizara ya Afya Pemba Yakub Mohammed Shoka, akizungumza katika mafunzo ya siku moja juu ya Chanjo kwa waandishi wa habari Pemba, huko ukumbi wa Maabara ya afya ya jamii Wawi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 BAADHI ya Waandishi wa habari Kutoka Vyombo mbali mbali vya Habari Kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mafunzo ya siku moja juu ya masuala ya Chanjo kwa waandishi hao.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadia Shaban Seif, akifungua mafunzo ya siku moja kwa waandishi wa habari Pemba juu ya masuala ya Chanjo huko ukumbi wa Maabara ya afya ya Jamii Wawi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 MRATIB wa kitengo cha chanjo Zanzibar Dr. Abdullhamid Ameir Saleh, akiwasilisha mada ya hali halisi ya huduma za chanjo Tanzania bara na Zanzibar, kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba huko katika ukumbi wa Maabara ya jamii Wawi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

MWANDISHI wa Habari Mwandamizi Kisiwani Pemba Suleiman Rashid Omar, akiuliza swali wakati wa mafunzo ya siku moja kwa waandishi wa habari Pemba Juu ya masuala ya Chanjo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.