Habari za Punde

Maadhimisho ya siku ya BIma kisiwani Pemba

 WANANCHI mbali mbali Kisiwani Pemba, wakipatiwa elimu mbali mbali juu ya masuala ya bima, kutoka kwa mawakala wa huduma za bima Tanzania, wakati wa siku ya maadhimisho ya bima Zanzibar, maadhimisho hayo yaliyofanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 AFISA Mdhamini Wizara ya Afya Pemba Shadia Shaban Sheif, akipata ufafanuzi wa masuala mbali mbali ya bima, kutoka kwa watoa huduma za bima Tanzania,wakati wa siku ya maadhimisho ya bima Zanzibar, maadhimisho hayo yaliyofanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 SHEHA wa Shehia ya Mkoroshoni Wilaya ya Chake Chake Khamis Iddi Songoro, akiuliza swali wakati alipotembelea mabanda ya maonyesho ya mawakala wa bima Tanzania, wakati wa siku ya maadhimisho ya bima Zanzibar, maadhimisho hayo yaliyofanyika Kisiwani Pemba hivi karibuni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.