Habari za Punde

Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Wampokea Mgombea wa Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijinin Zanzibar.BAr WA

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar Khadija Jabir akimkabidhi Kishoka na Pakacha Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi Mhe.Dkt, Hussein Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu Kisiwandui Jijini Zanzibar akitokea Dodoma leo.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa ameshika Kishoka na Pakacha baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Zanzibar.Bi. Khadija Jabir , wakati wa hafla ya mapokezi yake kabla ya kuzungumza na Wanachama wa CCM Zanzibar.

Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt. Hussein Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya kuzungumza na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, wakati wa hafla ya mkutano wa mapokezi yake Zanzibar akitokdea Dodoma.  
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.