MMOJA wa Watendaji
kutoka Idara ya kilimo Pemba akimwagia maji kitalu maalumu cha mbogamboga,
kilichopo katika eneo la Maonyesho ya wakulima nanenae huko Chamanangwe Wilaya
ya Wete.
NAIBU waziri wa
wizara ya Afya Zanzibar Harous Said Suleiman, akipata maelezo kutoka kwa mmoja
ya wataalamu wa kilimo, wakati alipotembelea bustani ya mbogamboga katika banda
la idara ya Kilimo huko katika maonyesho ya wakulima nanenae Chamanangwe
MMOJA wa watoa huduma
katika banda la kitengo cha Damu salama Pemba, Dk. Soud Khatib akimwangalia
mmoja ya wananchi waliojitokeza kuchangia damu salama katika maonyesho ya
wakulima huko Chamanangwe Wilaya ya Wete
Mohammed Salim Othaman afisa ufugaji wa mazao ya baharini,
kutoka idara ya maendeleo ya Uvuvi Pemba, akiwaonyesha mmoja ya kitoeleo muhimu
kwa wataali nchini aina ya Kamba ambaye wanapatikana Zanzibar, wakati
wamaonyesho ya wakulima Nanenane huko Chamanangwe.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment