Habari za Punde

MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA MUUNGANO OFISI YA MAKAMU WA RAIS


Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul- Razaq Badru (katikati) akiwa katika mkutano wa pamoja baina yake na Mkurugenzi wa Muungano kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais (OMR) Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) aliyefika katika Ofisi za HESLB Jijini Dar es Salaam jana (Agosti 20, 2020) akiwa katika ziara ya kikazi katika taasisi zinazohudumia pande mbili za Muungano, Tanzania Bara na Zanzibar. Kulia (koti jeupe) ni Mkuu wa Mawasiliano HESLB, Omega Ngole.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.